TEMBEA
UJIONEE
Ndugu historia ya mtu yeyote yule
hutengenezwa na kukamilishwa na mambo mengi sana lakini moja kati ya mambo muhimu ni
kutembea, kutembea hufanya historia ya kupendeza mbele ya watu wanaosikia
historia yake tofauti na mtu aliyezaliwa Ntendo na kuishia Ntendo. Kabla ya
kukuonesha mambo mengi tuliyojifunza katika safari ya nchini Rwanda katika mji
mkuu wa Kigali, safari hii ilisheheni watu mbalimbali wakiwemo waswahili toka
Kenya, Uganda, Burundi, Tanzania na Rwanda kama mwenyeji wa kongamano la
Kiswahili la tisa ambalo lilihusisha wanafunzi wa vyuo vikuu wanasoma Kiswahili
katika nchi za afrika mashariki na kati, (CHAWAKAMA), baada ya kukujulisha hayo
ni vema sasa kuiangalia baadhi ya mitaa Kigali na vitongoji vyake.
MTAA WA KIGALI- USAFIRISHAJI
JIJI LA KIGALI
ENEO LA BIASHARA KIGALI
JENGO LA BWENI LA WANAWAKE KIE
MADARASA KATIKA TAASISI YA ELIMU KIGALI
BASI LA CHUO CHA ELIMU KIGALI
NGOMA ZA UTAMADUNI WA WANYARUANDA
VIONJO VYA MNYARU
MBELE KAPELE NA WACHEZA NGOMA KIGALI
ASANTE CHAWAKAMA
BAADHI YA WANACHAWAKAMA WAKIFANYA USAFI-KIGALI
ALIYESIMAMA WAPILI TOKA KUSHOTO DR. SCIPRIANE- WAKIGALI
KAZI NI KAZI, USAFI KWANZA
TANZANIA USAFI NI WAKO
No comments:
Post a Comment